Supervisar Onesmo Swilla akizungumza na wauzaji wa nyama choma wa bar mbalimbali za Temeke Dar es salaam |
Jaji mkuu wa shindano la Safari lager nyama choma Lawrence Salvi kulia akionesha vifaa vya kupimia joto chakula wakati wa mafunzo kwa wachoma nyama wa bar za Temeke |
Jaji mkuu wa shindano la Safari lager nyama choma Lawrence Salvi kulia akipima nyama iliyokuwa tayali kwa ajili ya kuliwa wakati wa mafunzo hayo |
Baadhi ya wachoma nyama wa TEmeke |
Jaji mkuu wa shindano la Safari lager nyama choma
Lawrence Salvi kulia akimkabidhi cheti cha ushiriki wa mafunzo ya nyama
choma Jerome Kavishe baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyofanyika
kilwa road pub Dar es salaam
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya nyama choma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo yao |
No comments :
Post a Comment