Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, February 7, 2014

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Kairuki Azindua Kampeni Care For Me!





Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo za kuhamasisha jamii na makundi mbalimbali kuchangia na kumjali mtoto aliye katika mazingira hatarishi na yatima zinalenga kuwasaidia watoto zaidi ya 12,000 hadi kufikia mwisho wa kampeni yaani mwaka 2016.  
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Kampeni hizo za kuhamasisha jamii na makundi mbalimbali kuchangia na kumjali mtoto aliye katika mazingira hatarishi na yatima zinalenga kuwasaidia watoto zaidi ya 12,000 hadi kufikia mwisho wa kampeni yaani mwaka 2016.Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini sehemu maalumu kutoa ujumbe wake mara baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine fedha zitakazopatikana katika kapeni hiyo zitahakikisha zinaongeza idadi ya vituo vya SOS kuwasaidia watoto yatima na waliopo katika mazingira hatarishi. Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akitia saini sehemu maalumu kutoa ujumbe wake mara baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine fedha zitakazopatikana katika kapeni hiyo zitahakikisha zinaongeza idadi ya vituo vya SOS kuwasaidia watoto yatima na waliopo katika mazingira hatarishi.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Anna Maembe akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzindua kampeni. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Anna Maembe akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzindua kampeni.Watoto wa Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa kwene hafla hiyo. Watoto wa Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa kwene hafla hiyo.Mkurugenzi wa SOS Tanzania, Mr. Anatory M. akizungumza na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi. Mkurugenzi wa SOS Tanzania, Mr. Anatory M. akizungumza na wageni waalikwa kabla ya uzinduzi.Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akiwa katika moja ya darasa la awali liloloendeshwa na Kijiji cha SOS, darasa hilo pia linatumiwa na watoto wa kawaida ambao hufundishwa pamoja na wale wa kituo hicho. 
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akiwa katika moja ya darasa la awali liloloendeshwa na Kijiji cha SOS, darasa hilo pia linatumiwa na watoto wa kawaida ambao hufundishwa pamoja na wale wa kituo hicho.Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akiwa katika moja ya darasa la awali liloloendeshwa na Kijiji cha SOS, darasa hilo pia linatumiwa na watoto wa kawaida ambao hufundishwa pamoja na wale wa kituo hicho. Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Bi. Angellah Kairuki akiwa katika moja ya darasa la awali liloloendeshwa na Kijiji cha SOS, darasa hilo pia linatumiwa na watoto wa kawaida ambao hufundishwa pamoja na wale wa kituo hicho.Mwakilishi wa Kituo cha SOS kutoka nchini Kenya akizungumza na wageni waalikwa katika hafla za uzinduzi huo. Mwakilishi wa Kituo cha SOS kutoka nchini Kenya akizungumza na wageni waalikwa katika hafla za uzinduzi huo.
Burudani mbalimbali za ngoma na sarakasi kwa wageni waalikwa. 
Burudani mbalimbali za ngoma na sarakasi kwa wageni waalikwa.Meza kuu katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo. Meza kuu katika hafla ya uzinduzi rasmi wa kampeni za 'Care For Me!' katika Kijiji cha SOS kilichopo jijini Dar es Salaam leo.Burudani mbalimbali kwa wageni waalikwa. Burudani mbalimbali kwa wageni waalikwa.

No comments :

Post a Comment