Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, February 13, 2014

JANUARI MAKAMBA AFUNGA KONGOMANO LA MFUMO WA UHAMAJI KUTOKA ANALOJIA KWENDA DIJITALI KWA AFRIKA (DBSF) 2014




 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba akitoa hotuba yake wakati wa kufunga kongamano la siku tatu la uhamaji wa mfumo wa utangazaji kutoka Analojia kwenda Dijitali kwa Afrika (DBSF) 2014 katika Hoteli ya Naura Spring jijini Arusha. Kongamano hilo la 9 liliandaliwa na Shirika la Utangazaji kwa Nchi za Jumuia ya Madola (CTO) kwa ushirikiano mkubwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Srikali ya Tanzania ambao ndio wenyeji.
 Mgeni rasmi katika ufungaji wa Kongamano hilo la DBSF 2014, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (wapili Kushoto), Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kushoto) Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (wapili kulia) na  Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze. 

 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia) akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji  Kongamano hilo la DBSF 2014 katika Hoteli ya Naura jijini Arusha leo. Naibu 
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba (Kushoto),  Katibu Mtendaji wa CTO, Tim Unwin (katikati) na  Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka TCRA, Habbi Gunze. 
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (kulia) akizungumza kabla ya Mgeni rasmi kufungaji  Kongamano hilo la DBSF 2014 katika Hoteli ya Naura jijini Arusha leo

No comments :

Post a Comment