Naibu
wa Waziri wa Fedha Adam Malima alipokuwa akizungumza na wananchi wa Sirari wa wakati
wa ziara yake ya kikazi ya kukagua vituo vya forodha na kungea na watumishi wa
Mamlaka ya Mapato (TRA) katika mikoa ya kanda ya Ziwa.

Mkuu wa wilaya ya Tarime Luteni Kanali John
Henjewele akimwonesha Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima (aliyevaa barghashia)
na msafara wake maeneo ya mpaka wa Tanzania na Kenya katika mpaka wa Sirari.
Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima akikagua jengo la kituo cha pamoja cha huduma za
forodha cha Sirari (OSBP) ambapo amemwagiza mkuu wa wilaya ya Tarime Luteni
Kanali John Henjewele na timu yake wafanyiwe tathmini ya haraka na ya kina
ndani ya wiki moja kwani jingo hilo limejengwa chini ya kiwango na linanyufa
nyingi hata kabla halijaanza kutumika kitu ambacho Serikali imekataa kulipokea
hadi tathmini ifanyike na kupewa ushauri kulipokea au kutolipokea.

forodha cha Sirari (OSBP) na kujionea ufa mojawapo ndani ya jingo la kituo
hicho.(Picha
zote na Eleuteri Mangi- MAELEZO, Mara).
No comments :
Post a Comment