Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, September 17, 2014

CHADEMA WATANGAZA KUMSINDIKIZA MBOWE KESHO HADI MAKAO MAKUU YA POLISI ,WANACHAMA NAO WATAKIWA KUJITOKEZA


Mwanasheria mkuu wa CHADEMA akizungumza na wanahabari muda huu

 Chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA leo kimetangaza kuwa mwenyekiti wao keshoi ataenda polisi makao makuu kuitikia wito wa jeshi hilo ambao ulikuja kwa barua ukimhitaji mwenyekiti huyo kufika makao makuu ya jeshi hilo.

Kauli hiyo imetangazwa muda huu makao makuu ya chama hicho na  wanasheria mkuu wa chama hicho mbunge TUNDU LISSU wakati akizungumzia wito wa jeshi la polisi kumhitaji mwenyekiti wao kwa kile ambacho ameadi kuwa hakijawekwa wazi wanamwitia nini.

"Tumepokea barua ya jeshi la polisi makao makuu wakimtaka mwenyekiti wetu kufika makao makuu ya polisi kwa maelezo,kamati kuu ya chama imeridhia mwenyekiti aende ila hawezi kwenda mwenyewe hivyo wanasheria wote wa chama walioko mkoani Dar es salaam watamsindikiza kwa ajili ya kujua mwenyekiti wetu ameitiwa nini.hivyo tunaomba wanasheria wote wa chama kesho tukutane polisi makao makuu saa tano kwa ajili ya kumsindikiza. 
Naibu katibu mkuu wa chama  JOHN MNYIKA akizungumza 
Aidha naibu katibu mkuu wa chama  hicho mh JOHN MNYIKA NAYE naye amewataka wananchi na wapenzi wa chama hicho kujitokeza kesho kumsindikiza mwenyekiti wao kwa ajili ya kusikiliza kile ambacho mwenyekiti wao ameitiwa nini na jeshi la polisi.CREDIT DJ SEK BLOG

No comments :

Post a Comment