Wachezaji
wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga Gor Mahia
ya Kenya 3-0 katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa Simba, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Gor Mahia ya
Kenya, Kennedy Opiyo katika chezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika
leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0.
Ramadhani Singano 'Messi' akichuana na beki wa Gor Mahia ya Kenya.
Golikipa wa Gor Mahia, Fredrick Onyango akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
No comments :
Post a Comment