| Baadhi ya mahofisa wa Smile wakiwa na furaha uku wameshikili vipeperushi vinavyo onesha kuwezesha wateja kuendelea kuwa hewani mtandaoni pale kifurushi cha intanet kinapoisha | 
Mkuu wa Masoko wa Kampuni Smile Bi, 
Linda Chiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya SimelON 
kuwezesha wateja kuendelea kuwa hewani mtandaoni pale kifurushi cha 
intaneti kinapokwisha kushoto ni Head of Operational Efficiency and 
Compliance Bw. Athumani Nzowa 
Baadhi ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini  maofisa wa Smile
No comments :
Post a Comment