Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Ali Juma Mkangala ,mmoja washiriki wa
Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo
Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa
Mkoa wa Tanga Septemba 13, 2014.
Mbunge
wa Mlalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Hassan Ngwilizi (kushoto) na
Mbunge wa Bumbuli , Januari Makamba (kulia) wakiteta na Waziri wa
Kilimo , Chakula na Ushiriki Mhandisi Christopher Chiza katika mkutano
wa kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponde kilichopo Bumbuli
Tanga kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tanga, Septemba 13,
2014. Kikao hicho kiliongozwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments :
Post a Comment