Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Ghana alipowasili kijijini
hapo kwa kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa
kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini
Unguja leo Sept 21-20014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akikata utepe kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na
Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati
Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiondoa kitambaa kufungua rasmi kituo cha Afya kilichojengwa na
Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili kilichopo Ghana Wilaya ya Kati
Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipanda mti wa mnazi wa kumbukumbu baada ya kufungua rasmi
kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili
kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia Wananchi wa kijiji cha Ghana baada ya kufungua rasmi
kituo cha Afya kilichojengwa na Wananchi kwa kushirikiana na Wafadhili
kilichopo Ghana Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.Picha na OMR.
No comments :
Post a Comment