Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, September 7, 2014

MASHINDANO YA KUMI BORA NGUMI ZA RIDHAA MKOA WA DAR YAENDEREA KUSONGA MBELE





Mabondia Said Kasimu wa Amana kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamad Mbonde wa Magereza wakati wa mashindano ya kutafuta kumi bora ya kila uzito kwa mabondia jijini Dar es salaa yanayoandaliwa na chama cha ngumi za Ridhaa mkoa wa Dar, DABA Kassimu alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Hamad Mbonde wa Magereza kushoto akipiga ngumi bila matumaini yoyoyo na mwenzake Said Kassimu  wa Amana akimpiga konde la kulia wakati wa mashindano ya kumi bora yanayoendesha na chama cha ngumi za ridhaa mkoa wa Dar es salaam kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM Manzese picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Said Kassimu wa Amana akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi
Mabondia Shabani Mohamed wa JKT kushoto akipambana vikali na Uwesu Hamadi wa Temeke wakati wa mashindano ya kumi bora ngumi za RIdhaa yanayoandaliwa na chama cha ngumi mkoa wa Dar es salaam na kufanyika kila jumamosi katika ukumbi wa Manyara Park CCM Tandale Manzese Dar es salaam Mohamed Alishinda kwa point mchezo huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu

MASHINDANO ya ngumi mkoa wa Dar es salaam yanayoendeshwa na chama cha ngumi za ridhaa 'DABA' yamenderea kushika kasi kwa wiki ya pili sasa

mashindano hayo yanayofanyika kila jumamosi katika ukumbi wa manyara park CCM Tandale Manzese 

yamekuwa yakibuwa vijana mbalimbali wenye vipaji vya mchezo wa masumbwi nchini kutoka kila kona ya jiji la Dar es salaam

akizungumzia mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki Mwenyekiti wa 'DABA' Akaloli Godfrey 

amesema mashindano hayo yatakuwa yakiendelea kila wiki mpaka wafikie mabondia wote wa dar wapo katika viwango vya ubora nchini

na kuwataka watu binafsi makampuni na taasisi za kiserekali kusaidia mashindano hayo yanayoenderea kutimua vumbi kila wiki

ambapo inakusanya vijana wengi mbali mbali

No comments :

Post a Comment