![]() |
Mke wa marehemu Adamu kuambiana,Janeth Rithe akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe
![]() Msanii JB Jacob Steven akiweka shada la maua kwenye kaburi ![]() ![]() Jeneza likiingizwa kaburini ![]() Wasanii Steven nyerere na Single Mtambalike wakiweka udongo kwenye kaburi ![]() ![]() ![]() Jb akisaidiwa na wasanii wenzie kunyanyuka baada ya kuzidiwa na uchungu na kuanguka,wakati akitoa nasaha.Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe. |
NGORONGORO HAKUNA KULALA SABASABA.
-
Tukio la Ngorongoro kuonesha vivutio vya utalii mubashara kupitia runings
kubwa iliyofungwa katika banda la Wizara ya Maliasili na Utalii
limevutia wanan...
21 hours ago








No comments :
Post a Comment