Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00
TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania
Tuesday, May 20, 2014
KHALID CHOKORAA KUPANDA ULINGONI MAY 24 KUZIPIGA NA ABDUL MANYENZA
Mwanamuziki
na kiongozi wa bendi ya Mapacha watatu Khalid chokoraa anategemea
kupanda ulingoni jumamosi ya tarehe 24 katika ukumbi wa friends cornerkuzipiga na bondia chipukizi mwenye uchu wa ushindimuda wote awpo ulingoni Abdul manyenza. Chokoraa alisema muda mrefu amekuwa akifanya mazoezi yakujenga
mwili na ya ngumi kwa muda mrefu na amekuwa akipigana na mabondia
tofautitofauti mazoezini na kuona uwezo wao ni wa kawaida, hivyo anataka
kuwaonesha kama ana kipajikingine zaidi ya kuimbia, kwa sasa amekuwa akijifua katika gym ya bigright boxing ya mwananyamala chini ya mwalimu wake bondiamkongwe
omar athuman ‘van dame’ kwa lengo la kumsambaratisha mpinzani wake
ambae amekuwa akijitapa kumfukuza chokoraaa kwa kipondo kikali arudi
kuimba. Siku hiyo ya jumamosi kutakuwa na mapambano ya ubingwa kati ya
Karama nyilawila na Said Mbelwawakigombea
ubingwa wa UBO-AFRICA ,wakisindikizwa na kina chokoraa na Abdul
manyenza, Suleiman Galile akimkabili Abdala Pazi ‘kiroba’ naebingwa
wa afrika Alan kamote wataoneshana umwamba na Adam ngange, Ramadhan
kumbele atazipiga na Hassan kiwale”morobest” , idd athuman na julias
kisarawe, nao wababe wa majigambo Zumba kukwe wataoneshana kazi na
Kamanda wa makamanda, pia kutakuwa na pambano mengine mengi tu ya
utangulizi ya mabondia wa tanga watazipiga na mabondia wa dare es
salaam. Kama vile Athuman boxa wa tanga atazipiga na waite juma wa
chalinze, Rajabu mahoja wa tanga atazipiga na kaisi wa darn a mengineyo
yenye kuleta hamasa na burudani za mchezo wa ngumi, kwa vijana kuonesha
vipaji vyao
Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
DVD MPYA YA MASUMBWI YA BONDIA SAID MBWELWA
DVD MPYA YA BONDIA MTANZANIA SAID MBELWA AKICHEZA MAPAMBANO YAKE NJE YA NCHI KWA MAHITAJI FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI AU PIGA SIMU 0713406938
KAVA YA VIDEO YA SUPER D BOXING COACH
SUPER D BOXING COACH DVD MPYA
DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH SASA ZIPO SOKONI
DVD MPYA ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MAITAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU
0787 0774 0754 4O6938 0713 0733 AU FIKA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM AU FIKA JENGO LA AZAM MSIMBAZI KARIBU NA POLISI POST GEREZANI p.o.box 15493 DAR Email.superdboxingcoach@gmail.com http://www.facebook.com/groups
DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838
SPORTSVIEWS
Visitors
Viwanjani time
DAWA YA NGUVU
TANGAZO
DAWA YA NGUVU ZA KIUME NA MSISIMKO KWA WANAWAKE WASIO NA HAMU YA TENDO LA NDOA AMBAYO HULETA MSISIMKO KWA WANAUME NA WAKE WAKUTANAPO.KWA SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU HAPA JIJINI DAR ES SALAAM MAKUTANO YA MTAA WA KIPATA NA BARABARA YA MSIMBAZI
No comments :
Post a Comment