Wasichana washiriki mashindano ya miss ukonga 2014 wilaya ya ilala
jijini dar es salaam wapatao 16, ambapo kila mmoja ana ndoto za kuchukua
ushindi.
warembo hao wakiongea na mwandishi wa blog hii.walitaka
jamii hiyelewe kuwa urembo siyo uhuni bali ni kipaji cha mtu kama vipaji vingine vilivyo hivyo wazazi wasiwakatalie watoto wao kushiriki

mashindano hayo ya urembo kwani ni moja ya
ajira rasmi kama zingine..
katika mashindano hayo kwanza wanafundisha maadili mema, nizamu, kujituma ,kushirikiana na jamii,kufanyakazi,pia nakujali imani ya mtu yeyote
warembo hao wamesama katika washiriki hao wengine ni wasomi wa vyuo vikuu ,kwani wemesama watakavyo pata nafasi hiyo itakuwa msaada kwa jamii kuwa elimisha,tamaduni za

asili ya tanzania na kuzitangaza nje
No comments :
Post a Comment