Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, December 20, 2009

BONANZA LA WAANDISHI LA FANA

Waandishi wa habari wa kampuni ya Bussines Time wachapishaji wa magazeti ya Majira,Dar leo,Sports Starehe na Bussines Time wakiburudika na miondoko ya twanga pepeta wakati wa bonanza la waandishi wa habari lililofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki na kudhaminiwa na kampuni ya Zain.(PIcha na Rajabu Mhamila)Baadhi ya waandishi wa habari wakicheza wakati wa burudani zilizokuwa zikitolewa na baendi ya African stars Twanga pepeta wakati wa bonanza lao lililodhaminiwa na kampuni ya Zain mwishoni mwa wiki .(Picha na Rajabu Mhamila)Wanamziki wa bendi ya msondo Juma Katundu na Isihaka Katima, wakiwajibika Dar es salaam mwishoni mwa wiki wakati wa bonanza la waandishi wa habari lililodhaminiwa na kampuni ya Zain.(Picha na Rajabu Mhamila)Waimbaji wa bendi ya Twanga pepeta wakitoa burudani wakati wa bonanza la waandishi wa habari lililofanyika mwishoni mwa wiki kushoto ni Luhiza Mbutu na Kalala Hamza.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments :

Post a Comment