Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, December 5, 2009

MITIKISIKO YA PWANI YALITEKA JIJI

Muandaaji na Mtangazaji wa kipindi cha MItikisiko ya Pwani kinachorushwa na kituo cha Radio Times FM Khadija Shaibu maarufu DIDA akiikabidhi keki kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Kazi, AJira na maendeleo ya vijana Mh Juma Kapuya ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya miaka mitani ya mtikisiko ya pwani, kulia ni Scholastica Mazula meneja vipindi Radio Times FMWaimbaji wa bendi ya Five Star Morden taarab wakiwajibika wakati wa tamasha la Mitikisiko ya Pwani lililofanyika Dar es salaam juzi na kudhamniniwa na kampuni ya Zain, kutoka (kushoto) ni Joha Kasimu, Hadija Yusuph na Amisa Mussa.(Picha na Rajabu Mhamila)Msanii wa bendi ya Five Star morden taarabu, Mussa Mussa 'mipango' akikunguta gita la bess mbele ya mashabiki wakati wa tamasha la Mitikisiko ya Pwani lililofanyika Dar es salaam juzi na kudhamniniwa na kampuni ya Zain.(Picha na Rajabu Mhamila)Hawa ni mashabiki waliyofurika katika tamasha la mitikisik ya pwani

No comments :

Post a Comment