Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamejitokeza kwa uchache kusajili laini zao za simu Mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam, baada ya kuongezewa muda wa miezi sita, kabla ya hapo watu waliyokuwa wakijitokeza ni wengi na kusababisha foleni kubwa. Jamani wa Tanzania kweli huu ni uungwana? kwanini kila siku mpaka dakika za mwisho ndiyo tuanze kusukumana? kwanini tusubiri mpaka siku ya mwisho? hivi kweli zoezi lingesitishwa tarehe 31 Desemba 2009 si tungeilaumu tena Serikali!!!(Picha na Rajabu Mhamila
SGR :HATUNA MPANGO WA KUONGEZA NAULI
-
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema halina mpango wa kuongeza nauli za
usafiri wa Reli ya Kisasa (SGR) kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, kwa
ku...
2 days ago
No comments :
Post a Comment