Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, December 29, 2009

KIFIMBO CHA MALIKIA CHA KIMBIZWA DAR ES SALAAM LEO

Raisi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tamzania Leodegar Tenga, akiwa amekishika kifimbo cha Malkia, Dar es salaam wakati wa kukimbiza kifimbo hicho kutoka uwanja wa Uhuru kuelekea Ikulu.(Picha na Rajabu Mhamila)Hapa Raisi wa TFF Leodga Chilla ameanza kutimu mbio na Kifimbo.Maafande wa Jeshi la Polisi nao hawakuwa nyuma, wanakumbushia mchakamchaka wa DepoWasanii wa bendi ya Afrikan stars 'Twanga pepeta' wakiwajibika wakati wa sherehe za kukimbiza kifimbo cha malkia kuelekea Ikulu Dar se salaam jana.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments :

Post a Comment