Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, December 25, 2009

YANGA DUME KWA SIMBA, SASA KUCHEZA FAINALI NA SOFAPAKA

Fainali ya michuano ya kombe la Tasker sasa itawakutanisha Mabingwa wapya wa Kenya na mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga itakayopigwa siku ya Jumapili katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.Yanga wamepata nafasi ya kucheza fainali baada ya kuitgandika Simba jumla ya magoli 2-1 katika nusu fainali ya pili iliyochezwa katika uwanja wa Taifa kwa dakika 120 baada ya kumalizika dakika 90 wakiwa sare ya goli 1-1.Pamoja na kupata nafasi hiyo Yanga kucheza fainali, lakini pia imevunjwa mwiko wa kufungwa na Simba katika michuano hiyo ikiwa ni pamoja na kulipa kisasi cha kufungwa na watani wao wa jadi katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara msimu huu.
Ushindi huo wa kwanza kwa kocha Kostadin Papic kwa simba, pia amevunja mwiko wa kocha Mzambia Patrick Phiri wa Simba kwani kocha huyo hakuwahi kufungwa na Yanga tangu aanze kuifundisha SImba.
Jerison Tegete ndiyo alikuwa wa kwanza kuwainua mashabiki wa Yanga katika dakika ya 67 kwa shuti kali lililomshinda mlinda mlango wa Simba Juma Kaseja, ikiwa ni kazi nzuri iliyofanywa na Abdi Kasim "Babi"NDeremo na vifijo vya Yanga havikudumu kwa muda mrefu kwani dakika ya 79 Hilary Echesa alizawazisha bao hilo kwa njia ya penati baada ya mchezaji Bakari Mbegu kumwangusha Emmanuel Okwi.Goli la ushindi la Yanga lilifungwa na Shamte Ally aliyeingia akitokea benchi kuchukua nafasi ya Abdi Kassim "Babi" dakika 116 na kupeleka msiba mtaa wa Msibazi na kuwavurugia sherehe za X-MASS

7 comments :

  1. Samsung has unveiled its new handset, the Galaxy S3 in Europe ahead of other markets.
    The Galaxy S has a great 5 MP camera with a resolution of 2592
    x 1944 pixels. It runs in very smooth and customized way to keep its users satisfied.


    Take a look at my webpage; samsung galaxy s4

    ReplyDelete
  2. 5 MP is excellent resolution, but where and how can you achieve it.

    With so many additional and better features in the canon 5d mark iii
    camera, it is not surprise that it is available at a
    much higher price than the 5DMark III camera. The EOS 5D Mark II naturally characteristics
    a total-frame sensor, but the resolution enjoys a considerable increase through the 12.

    ReplyDelete
  3. The Chromebook obviously still requires these updates but they
    are managed in a very different way. The result is a battery life expectancy of around 8.

    Many years in the past the user had to write their programming code manually, using
    some cryptic codes.

    my homepage samsung chromebook reviews

    ReplyDelete
  4. And since Mac - Book is sure to become your constant companion, a durable polycarbonate
    shell keeps it ready for the rough and tumble of everyday life.

    In mid-2009 the third generation landed and it
    was more than a year later, in October 2010, that we
    were treated to the new super-skinny design ' a design that was once again revamped in July 2011. how to put videos on ipad, how to convert dvd to ipad, dvd to ipad converter, Convert MKV to i - Pad.

    Feel free to visit my blog post - mac air

    ReplyDelete
  5. Not sure if you need more insulation on your water heater.
    On the website or through the smartphone apps, you can view
    your energy usage and compare your usage to people in your geographic region
    or across the globe. You paid a lot of money for the compressor to cool these coils, right.


    Feel free to visit my blog post - nest thermostat

    ReplyDelete
  6. Sales of the Kindle Fire are going better
    than expected. 1 tablet supports 1080p HD video playback with 1280x800 capacitive display,
    which will bring you an exciting movie enjoyment.

    It's just a minor annoyance, because the tablet can fit in one hand, and therefore always stay directed to the user.

    Also visit my blog :: galaxy tab

    ReplyDelete
  7. Invest the money you saved into some nice accessories.
    You can buy these accessories and also the new at huge discounts
    and free shipping too only at. It's slightly different in terms of look and design, but in terms of functionality the only improvement is a digital zoom.

    Here is my homepage :: canon 6d

    ReplyDelete