Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, May 23, 2012

RADO ATOKA NA FILAMU MPYA YA TAMAA YANGU


Na Mwandishi Wetu


MSANII wa filamu nchini Simoni Mwapagatwa 'Rado' ameibuka na filamu Mpya inayokwenda kwa jina la Tamaa yangu Nguvu za giza filamu hiyo inayotarajia kuingia sokoni  wakati wowote kuanzia sasa filamu hiyo yenye ujumbe maususi kwa jamii inayozungumzia tamaa ambapo mtu ujiingiza katika mambo ambayo yasiyo staili kwa jamii na kujikuta anajingiza katika mambo makubwa zaidi ya kishirikina

Rado ambaye anaonekana kuishi katika maisha ya kifukala na kukutana na rafiki yake kipenzi Single Mtambalike 'Rich Rich' ambaye anamshawishi kwenda kwa mganga na anambiwa masharti ya mganga ni lazima utembee na mama yako mzazi Rado ana kataa anaporudi kwa RIchi anamwambia sina uwezo wa kukusaidia

Ndipo anapofanya maamuzi ya kulala na mama yake mzazi na kufanikiwa kuwa tajiri ambapo mama yake anapotambua kuwa amelala na mwanae anamua kujiuwa ili kuondokana na aibu hiyo

Filamu hiyo itakayokuwa ikisambazwa na Kampuni ya SPLASH ya jijini Dar es salaam itakua mtaani wakati wowote kuanzia leo katika filamu hiyo iliyowashirikisha wakari wengine kama Regina Mroni, Deogratus Shija na wengine wengi waliyonogesha filamu hiyo ambayo si ya kukosa

No comments :

Post a Comment