Mkuu wa Chuo cha Sheria cha Tanzania Dr.
Gerald Ndiku akiongea katika ufunguzi wa mafunzo kwa ajili ya wanasheria
wa hapa nchini kuwajengea uwezo na mbinu za uandika maandiko ya
kisheria, namna ya kutengeneza vipengele vya upatanishi wa mizozo,
mwenendo wa kesi mahakamani, mikataba ya kuuza na kununua, mikataba ya
mikopo pamoja na mbinu na taratibu zake na maandishi mengine ya kisheria
kwa ujumla.
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba
Bi. Angellah Kairuki akisoma risala yake kuashiria ufunguzi wa mafunzo
ya sheria kupitia Chuo Cha Taifa Cha Sheria kupitia shirika la kujitolea
lijulikanalo kwa jina la New Perimeter lililoanzishwa na DLA Piper kwa
muda wa wiki 2 kwa wanafunzi wapatao 240 yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam.
Bw. Simon Boon kutoka DLA Piper- London Kitengo Maalum cha Restructuring ambaye pia ni kiongozi wa mradi akiongea machache.
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Sheria
cha Tanzania Dr. Gerald Ndiku, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba
Bi. Angellah Kairuki wakiwa pamja na Bw. Lawrence Masha kutoka IMMMA
Advocates.
Wageni waalikwa wakiwa na wanafunzi.
Mshereheshaji wa sherehe hiyo, Bw. Sebo akiongea machache kabla ya kumaliza ufunguzi.
Wageni wakiwa katika picha ya pamoja.
Naibu Waziri wa Sheria na Katiba
Bi. Angellah Kairuki akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara
baaya ya kufungua mafunzo hayo.
No comments :
Post a Comment