Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitia saini mkataba wa makubaliano ya kucheza siku ya sikukuu ya Idi mosi na Darius Lipupa wa Zambia mpambano utakaopigwa katika ukumbi wa Dar Live kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah 'Ostadhi' PICHA NA BLOG YA SUPER D |
Friday, July 26, 2013
FRANCIS MIYEYUSHO ASAINI MKATABA KUZIPIGA DAR LIVE IDDI MOSI
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment