Baadhi ya wasanii wakiwa kwenye kazi za vikundi kwa majadiliano zaidi
juu ya semina semina ya wasanii wa sanaa za maigizo, filamu, muziki,
uchoraji na ngoma za asili jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye semina
iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya
umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na
kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Mmoja wa wasanii hao akiwasilisha mada ya kundi lao katika semina iliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia
Picha
mbalimbali juu ni baadhi ya wasanii wanaoshiriki Semina ya wasanii wa
sanaa za maigizo, filamu, muziki, uchoraji na ngoma za asili jijini Dar
es Salaam wakiwa kwenye kazi za makundi za majadiliano. Semina hiyo
imeandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa wasanii juu ya
umuhimu wa wao kushiriki katika mchakato wa uundaji Katiba Mpya na
kutumia kazi zao katika kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.
No comments :
Post a Comment