Mbunge Filikunjombe wa pili kulia
akimsikiliza mwakilishi wa meneja wa Tanroads mkoa wa Njombe Bw KIndole
wakati akielezea maendeleo ya ujenzi wa barabara Ludewa
...........................................................................................................................
MBUNGE wa jimbo la Ludewa Deo
Filikunjombe amepania kutumia dakika zake 15 bungeni kuwalipua
makandarasi wabovu wanaoendelea na ujenzi wa barabara mbali mbali
katika wilaya ya Ludewa ikiwemo barabara ya Njombe -Ludewa na Ludewa -
Manda
Mbunge huyo alitoa kauli hiyo juzi
wakati akikagua ujenzi wa barabara hizo katika wilaya ya Njombe na
kuwa katika baadhi ya maeneo hajafurahishwa na utendaji kazi wa
kampuni husika kutokana na kufanya kazi hiyo chini ya kiwango na
kuwa hadi sasa ni kampuni moja pekee ambayo imeonyesha kufanya kazi
kwa ufanisi mkubwa .
No comments :
Post a Comment