Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, July 11, 2014

USIKU WA MATUMAINI 2014... MAPINDUZI BAB’KUBWA YA BURUDANI BONGO




Unakumbuka Tamasha la Usiku wa Matumaini lilivyotingisha mwaka jana? Basi kwa taarifa yako, mwaka huu wa 2014 linakuja tena kivingine likiwa limesheheni mapinduzi makubwa katika burudani yatakayoacha historia ya kipekee Bongo.
Kwa mujibu wa mratibu wa ishu hiyo, Luqman Maloto, mpango mzima utakuwa ni kwenye Sikukuu ya Nanenane (8/8/2014) katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wasanii kibao kutoka Bongo, Afrika Mashariki na sehemu nyingine duniani watamwagika na kufanya yao.
Kivutio kikubwa kwa mujibu wa mratibu huyo, kinatarajiwa kuwa burudani ya nguvu ya muziki kutoka kwa Ali Kiba na…

No comments :

Post a Comment