Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, July 15, 2014

RAIS KIKWETE AKABIDHI BENDERA TIMU YA TAIFA YA RIADHA ITAYOSHIRIKI MICHUANO YA JUMUIYA YA MADOLA HUKO GLASGOW, SCOTLAND


ta1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya ngumi za  riadha Selemani Kidunda pamoja na wachezaji wa michezo mingine inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya ngumi za  riadha Selemani Kidunda  inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta5
 Wakimsikiliza kwa makini Rais Kikwete ni wachezajina viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
ta6
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment