Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, akikata utepe
kuzindua rasmi Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliojengwa na mfanyabiashara
maarufu nchini, Said Salim Bakhresa katika eneo la Uwanja wa Chamazi,
Mbagala jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti huyo wa Makampuni
ya SSB, Said Salim Bakhresa, ambapo pia uzinduzi huo uliofanyika leo
Julai 4, 2014, ulihudhuriwa na baadhi ya Viongozi wa Kiserikali akiwemo
na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana na wengineo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(wa tatu kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (wa
pili kushoto) Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ( wa pili kuli)
Mwenyekiti wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa (katikati) na Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum (kushoto) wakijumuika
na waumini wa dini ya Kiislam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mkititi
wa ‘Masjidil Huda’ na Swala ya Ijumaa uliofanyika leo Julai 4, 2014,
Chamaz jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wenyeji wake wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa msikiti huo uliofanyika leo Julai 4, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na Mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya SSB, Said Salim Bakhresa, wakati alipowasili Msikiti wa ‘Masjidil Huda’ uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa msikiti huo uliofanyika leo Julai 4, 2014. Picha na OMR

No comments :
Post a Comment