Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, August 10, 2009

MISS ILALA APATIKANA NI "Sylivia Shally"


Mnyange mpya wa Ilala 2009,Sylivia Shally (katikati) akiwa na mshindi wa pili,Gladnness Shao(kushoto) na Evelyne Lujamba mala baada ya kutangazwa wakati wa mashindo ya kumsaka Malkia wa Kanda ya Ilala iliyofanyika Dar es salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)

Warembo wa Kanda ya Ilala wakitoa burudani katika kinyang'anyiro cha kumsaka Malkia wa Ilala Dar es Salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)
Baadhi ya walinzi waliokuwa katika kumsaka mshindi wa kitongoji cha miss Ilala wakimpepea mrembo Magreth Motau baada ya kuanguka jukwaani wakati wa matokeo ya kutangaza washindi kumi bora waliopita katika kitongoji hicho Dar es salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)
Mwimbaji wa kikundi cha (THT) Maunda Zolo akiimba wakati wa kumtafuta Mrembo wa Miss Ilala iliyofanyika Dar es salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)
Mnyange Mpya wa Ilala 2009, Sylivia Shally akicheza wakati wa mashindano hayo kabla ajatangazwa kuwa Miss Ilala Dar es Salaam juzi.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments :

Post a Comment