Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, August 7, 2009

YANGA KUCHEZA NA MTIBWA "NGAO YA HISANI"

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Yanga wanataraji kukipiga na Mtibwa Suger katika mchezo wa Ngao ya Hisani utakaochezwa Agosti 16 mwaka huu.
Akizungumza na kipindi cha Michezo cha Radio Times FM Katibu mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela amesema mchezo wa Ngao ya Hisaniutakuwa ukichezwa kila mwaka wiki moja kabla ya kuanza kwa ligi Kuu Tanzania bara.
Mchezo huo uliwahi kuchezwa mara moja lakini ukapotea na sasa TFF wameamua kuurejesha kwani nchi nyingi za Ulaya zimekuwa zikifanya hivyo.

No comments :

Post a Comment