Mchezaji wa Pool table wa Mkoa wa Tanga, Zainabu philipo, akijiandaa kupiga mpira wakati wa mashindano ya taifa ya mchezo huo kwa wanawake katika hatua ya kuingia nusu fainal yanayodhaminiwa na kampuni ya bia Tanzania kupitia bia ya Safari Lager jijini Mbeya jana ...(Picha na Rajabu Mhamila)
KRETA YA NGORONGORO YAMVUTIA MEYA WA JIJI LA DALLAS MAREKANI, AAHIDI
KUREJEA NA FAMILIA YAKE
-
Na Mustapha Seifdine, Ngorongoro Kreta.
Eneo la hifadhi ya Ngorongoro limeendelea kuwa kimbilio la wageni mashuhuri
duniani ambapo siku ya leo, Meya wa ...
4 hours ago
No comments :
Post a Comment