Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, Malaki Sitaki (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu wa timu ya Prisons, Sadiki Saffari mfano wa hundi ya sh. milioni nne ikiwa msaada kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu ya Vodacom inayotarajia kuanza hivi karibuni. Katikati ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Maneno Mbegu. (Picha na Rajabu Mhamila)
MKOA WA PWANI WENYEJI MICHUANO YA RIADHA KITAIFA 2026
-
Mkoa wa Pwani unayo heshima ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Riadha
Kitaifa 2026, yatakayoanza Julai 3, 2026 katika Viwanja vya Filbert Bayi,
eneo la P...
17 hours ago
No comments :
Post a Comment