
Hawa wanapaswa kuendelezwa, kwani naamini wanaweza kuchangia kuongeza soko la ajira kwa vijana, lakini wanaweza kurahisisha kupatikana kwa huduma nafuu kwa wakazi wa maeneo mbalimbali nchini na kuliongezea taifa kipato.

Hii ni Dar es Salaam, gari hili lilotengezwa kwa mbao likiwa linatembea kufanya safari zake kama kawaida huku likitumia mafuta ya Taa na Disell.

Hii ni Musoma, gari limetengenezwa kwa makuti
MUZURI SANA KWA SABABU NI ECOLOGIK
ReplyDeleteLEONE ITALY