Mkurungenzi mkuu wa kampuni ya Zain Tanzania Khaled Muhtad, ofisa uhusiano wa kampuni hiyo Bwana Muganyizi Mutta wakishilikiana na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika zoezi la kupanda miti kwenye Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam juzi kiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya uhifadhi wa Mazingira, Kauli mbiu ni ( Panda Miti tunza Mazingira)
SIYO MAWASILIANO HATA KAZI ZA KIJAMII ZAIN TUPO
TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAWAFUNDA MAFIA
-
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imeendesha mafunzo ya uzingatiaji
wa haki za binadamu katika ufikiaji, upatikanaji na usimamizi wa rasilimali ...
2 days ago
No comments :
Post a Comment