Katibu
mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Kahama
mara baada ya kuwasili mjini hapo kwa ziara yake ya kichama jana

Dr
Slaa akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea mjini Kahama jana.
leo Desemba 5, atakuwa Wilaya ya Kakonko, Jimbo la Buyungu na Desemba 6,
atakuwa Jimbo la Muhambwe.
No comments :
Post a Comment