

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na Rais
wa kwanza wa Arika ya Kusini Mzee Nelson Mandela enzi za uhai wake
wakati walimpomtembelea kwenye ofisi ya Taasisi yake jijini Johanesburg
tarehe 12 Julai mwaka 2006. Rais Kikwete jana aliondoka kwwneda Afrika
ya kusini kuungana na viongozi wengine kwenye ibada ya mazishi ya mzee
Mandela.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments :
Post a Comment