Mke wa
Waziri Mkuu Mstaafu,Mama Regina Lowassa akishiriki kuhudumia chakula
watoto wenye ulemavu katika Kituo cha Huduma ya Walemavu
kinachomilikiwa na Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha kilichopo Monduli
wakati alipokwenda kushiriki nao Ibada ya X-Mass pamoja na kuzungumza na
kula nao chakula cha mchana.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment