| Zena Selemani kushoto akiwa na mpambe wake wakati wa send off yake |
| Zena Selemani kulia akiwa na mume wake mtarajiwa anaetarajia kufunga nae ndoa siku ya jumapili ya Desemba 7 |
| Zainabu Mhamila 'Baby Ikota ' katikati katikati akiwa na Zena Selemani pamoja na mpambe wake |
| Zainabu Mhamila 'Ikota' akiwa na baba yake mzazi Rajabu Mhamila 'Super D |
| Zainabu Mhamila 'Ikota' akiwa na mama yake mzazi Asha Kamnyanga ' Mama Ikota' |
| Wazazi wakishudia send off ya mtoto wao kushoto ni Selemani Mrisho na Sikitiko Mohamed |
| Baadhi ya wakeni waalikwa wakiwa katisha shughuli hiyo |
| Mwenyekiti wa Kamati ya maandarizi ya Send off hiyo Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiselebuka |
| SUPER D KULIA AKIWA NA IKOTA KATIKATI NA BAADHI YA WANAKAMATI |
| WAGENI WAALIKWA WAKI PIGA PICHA YA PAMOJA NA MTARAJIWA |
| MWENYEKITI WA KAMATI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKITAMBULISHA KAMATI YAKE |
| MWENYEKITI WA KAMATI YA MAANDALIZI YA SEND OFF HIYO RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKITOA NENO LA SHUKRAN |
| KEKI IKINGIA UKUMBINI KUSHOTO NI ZUHURA,SADA NA ASHA KAMNYANGA 'MAMA IKOTA' |
No comments :
Post a Comment