Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika kwenye
Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es
Salaam leo Disemba 5,2013.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal katikati, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano
la Kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika mara baada ya kufungua kongamano
hilo leo Disemba 5-2013 kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na Waziri wa kazi na Ajira Mhe. Gaudensia Kabaka mara
baada ya kufungua kongamano la kitaifa la Ajira kwa bara la Afrika
kwenye Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es
Salaam leo Disemba 5,2013. (Picha na OMR)
No comments :
Post a Comment