Ni furaha iliyoje kwa wanahabari walipokuwa wakiondoka na msafara wa Komredi Kiwana kwa treni ya Tazara Stesheni ya Makambako, Mkoani Njombe kurejea Dar
Wanahabari wakiwapungia mikono wananchi walipokuwa wakiondoka kwa treni ya Tazara,Makambao kurejea Dar baada ya ziara ndefu ya Kmredi Kinana katika mikowa minne. ambapo wametumia siku 26 na Kinana kuhutubia mikutano zaidi ya 100.
Mmiliki wa Blogu hii, Kamanda Richard Mwaikenda (kushoto) akiwa na Afisa wa CCM Makao Makuu, ambaye pia ni mmiliki wa Blogu ya The Nkoromo wakiwa ndani ya chumba cha Treni ya Tazara wakisafiri kutoka Makambako kwenda Dar.
Wanahabari waliokuwa kwenye msafara wa Komredi Kinana wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Stesheni ya Tazara, Dar es Salaam
No comments :
Post a Comment