Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara (katikati)
akichezesha droo ya nne ya Pambika na Samsung huku akishuhudiwa na Msimamizi
toka Bodi ya michezo ya kubahatisha Bw. Emmanuel Ndaki (Kushoto) huku kulia ni
Mratibu wa Pambika na Samsung Bw. Lawrence Andrew.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment