meneja wa masoko wa kampuni ya Konyagi Joseph Chibehe,(Kulia)
akimkabidhi kepteni wa timu ya Mwambao Selemani Lugono baada ya timu
hiyokuibuka washindi wapili katika ligi ya kawambwa cup iliyomalizika
Mjini Bagamoyo mwishoni mwa wiki Wanaoshuhudiakutokakulia ni Mbunge wa
jimbo hilo Dr Shukuru Kawambwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa BMT Idi
KIpingu
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment