Mbunge wa Temeke, ambaye pia ni Mlezi wa timu ya netiboli ya Temeke
Queens, Abbas Mtemvu, akimrejeshea Kombe la ubingwa Mwenyekiti Chama
cha Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Kibira lililokuwa linashikiliwa
na mabingwa watetezi wa michuano ya Taifa Cup, Temeke Queens. Hafla hiyo
ilifanyika wakati wa ufunguzi wa michuano hiyo kwenye Uwanjawa Taifa
Dar es Salaam.
Mtemvu akimkabidhi kocha wa Temeke Queens, Amina Mussa fedha kwa ajili ya posho za wachezaji na viongozi wa timu hiyo inayoshiriki michuano hiyo.
Mtemvu akiwa na wachezaji wa timu ya Temeke Queens mabingwa watetezi wa mashindano hayo.
Mwanaidi Ngubege wa Temeke Queens (kushoto) akijiandaa kufunga goli dhidi ya timu ya Mkoa wa Katavi.
Lillian Sylidion wa Temeke akidaka mpira

Mchezaji Sekela Dominick (kushoto) wa timu ya Temeke Queens akigombea
mpira wa juu ya Rose Israel wa timu ya Mkoa wa Katavi katika mashindano
ya kuwania Kombe la Taifa (Taifa Cup) siku ya ufunguzi wa michuano ya
mchezo wa netiboli, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Temeke Queens
ilishinda 58-27. (PICHA NA
RICHARD MWAIKENDA)
Benchi la wachezaji wa timu ya Mkoa wa Katavi
Kocha Amina Mussa wa Temeke akitoa mawaidha kwa wachezaji wakati wa mapumziko
No comments :
Post a Comment