Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, December 18, 2013

NMB YATOA MADAWATI SHULE YA MSINGI MAKUBURI JESHINI



 Meneja wa NMB Mlimani City Bw. Leonard Ngaya (kushoto) akikabidhi sehemu ya madawati 55 yenye thamani ya shilingi milioni tano kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Makuburi Jeshini Bi. Stella Kaluse (kulia). Wakishuhudia makabidhiano hayo ni Mwenyekiti wa Kata ya Makuburi Bw. Moshi Kaftanyi (katikati) na Meneja wa NMB tawi la University Bw.  Charles Mapunda . Hafla ya Makabidhiano haya yalifanyika hivi karibuni katika viwanja vya shule hiyo.
Wawakilishi toka NMB pamoja na uongozi wa shule wakiwa kwenye picha ya pamoja  na wanafunzi baada ya kukabidhi madawati yaliyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa madawati katika shule hiyo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika viwanja vya shule ya makuburi jeshini hivi karibuni.

Hivi karibuni, Benki ya NMB imeukabidhi Uongozi wa shule ya msingi Makuburi Jeshini  jijini Dar es Salaam msaada wa  madawati  yenye thamani ya shilingi million tano. Madawati ambayo yatasaidia kupunguza upungufu wa madawati katika shule hiyo.

No comments :

Post a Comment