Afisa
Utamaduni Jiji la Tanga, Peter Semfuko (katikati) ,Matron Hilda Mwinyi
(Kulia), na mratibu wa kamati ya maandalizi Kessy Salum Mbasha (Kushoto)
wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa fainali za taifa za Miss
Utalii Tanzania 2013, alipo kwenda kukagua kambi na kuzungumza na
warembo hao Jana katika hoteli ya Mwambani Tanga Beach.
KAMATI BUNGE YAIPA TANO NGORONGORO
-
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utali imeipongeza Mamlaka
ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kuimarisha uhusiano na wananchi wanaoishi
ndani...
1 day ago
No comments :
Post a Comment