MIMI NASHANGAA SANA JUU YA SERIKALI PALE BIFU ZINZPOKOTEZEA
KWA RUGE
BASI UHINGILIA KATI KUTAFUTA SULUU KWA KWELI KUNAACHA
MASWALI MENGI.
KWA MTAZAMO WA KIUNGWANA NI NI JAMBAO JEMA SANA WALAKINI
YANGU KWA
NINI IWE KWA RUGE TU AWALI WAZIRI NCHIMBI AKIWA NAIBU WA
WIZARA YETU
YA HABARI UTAMADUNI,VIJANA NA MICHEZO A AMEINGILIA KATI
JAMBO LA RUGE
NA MBILINYI (SUGU) NA SASA TUNASIKIA RUGE NA LADY J DEE
SERIKALI IMEINGILIA KATI
MAONI WENGI MBONA KUMBUKA ASHA BARAKA WA TWANGA PEPETA NA
MAMAA WA
MASHUJAA HATA TAFF NA
BONGO BOVIE, VIKUNDI VYA TAARABU NI BAHADHI TU
LAKINI WENGI WAPO WALIKUWA KWENYE MVUTANO MKALI LAKINI
ASERIKALI IKIWAKIMYA
USHAURI WANGU HATUA HIYO NZURI SANA KULETA AMANI KWA WASANII
LAKINI
IWE KWA WOTE BILA KUBAGUA WATATUE INAPOTEA MIGOGORO HATA YA
KIMASLAI
PIA KUONDOA DHANA KUWA RUGE ANAPENDELEWA SERIKALI MADHALA
YAKE KWA
HISIA HIZO NI KUBWA SANA,KUSIPO ZIBA UFA KUTAJENGA UKUTA
TUCHUKUE
HATUA SASA, MAANA SISI NDIO TUPO KARIBU NA WASANII MUDA
MWINGI
TUNAWAMBUSHA SERIKALI JUU YA UMUHIMU WATOA HUDUMA SAWA KWA
WOTE BILA
KUJALI UMAARUFU WA MSANII KWA KUANZISHA DAWATI LA HUDUMA KWA WASANII
ITASAIDIA SANA
MIMI
CHE MUNDUGWAO
MWENYEKITI- CHAMA CHA MUZKI ASILI TANZANIA NA
MJUMBE WA BODI SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA
MKURUGENZI WA USHIRIKIANO- SHIRIKISHO
No comments :
Post a Comment