Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, May 22, 2013

ISHA MASHAUZI SASA KUJULIKANA KAMA "SUPER WOMAN"




Mkali wa Taarab ISHA MASHAUZI sasa ataka kujulikana kama SUPER WOMAN baada ya kutumia jina la JIKE LA SIMBA kwa muda mrefu. Sababu za kuachana na jina hilo la Jike la Simba, Isha anasema limevamiwa na watu wanaopenda kukopy hadi majina na wengine hata kujiita Jike la Mbwa.... MAKUBWAAAA MJINI KWANI UBUNIFU UMEKWISHA, HADI MAJINA TUCOPY????

ISHA MASHAUZI a.k.a SUPER WOMAN ndani ya Mitikisiko Ya Pwani na Dida kwa mbaali aonekana Bi Hindu
 Isha ndani ya kimini chezeyaaaaa.
 Dj Cobbo,Isha ndani ya Zero distance.
Isha,Dida.

No comments :

Post a Comment