Rais Jakaya
Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda, wakiwa kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa wakati wa Ufunguzi
rasmi wa Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa 'Sasa' Awamu ya Kwanza leo
Mei 24, 2013
Msanii maarufu wa
kughani, Mrisho Mpoto, wakibinjuka Sarakasi, wakati kikundi chake na
Bendi yake ya Mjomba ilipokuwa ikitoa burudani katika Maonesho ya Mfumo
wa Matokeo Makubwa 'Sasa' Awamu ya Kwanza,
yaliyofunguliwa na Rais Jakaya Kikwete, leo Mei 24, 2013.
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda, wakiwasili kwenye Ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya Taifa,
leo Mei 24, 2013 kwa ajili ya Kufungua rasmi Maonesho ya Mfumo wa
Matokeo Makubwa 'Sasa' Awamu ya kwanza
Rais
Jakaya Kikwete, Makamu
wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,
wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mchambuzi Sera
Mkuu wa Ofisi ya Rais na Mipango, Lorah Madete, wakati walipokuwa
wakitembelea Maonesho ya Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa Awamu ya Kwanza,
baada ya kuyafungua rasmi leo katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,
Jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya
Kikwete, Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo
Pinda, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Mtafiti Mkuu wa Wizara ya
Kilimo, Dkt. Mary Shetto, wakati walipokuwa wakitembelea Maonesho ya
Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa
Awamu ya Kwanza, baada ya kuyafungua rasmi leo katika Ukumbi wa
Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
No comments :
Post a Comment