Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, May 6, 2013

WLADIMIR KLITSCHKO AMCHAPA FRANCESCO PIANETA NA KUTETEA WBA, WBO, IBF NA IBO





  Mchumba wa Wladimir Klitschko, Hayden Panettiere, akishangilia wakati mpenzi wake akiwaga dozi ulingoni na kumchapa Francesco Pianeta wa Italia.
 Wladimir Klitschko akiwa na mikanda yake ya WBO, WBA, IBF na IBO aliyotwaa na kutetea baada ya kumchapa Pianeta.
 Wladimir Klitschko akishangilia.
 Wladimir Klitschko akimshambulia Francesco Pianeta.
 Wladimir Klitschko akimchapa Pianeta na kumpiga kwa KO raundi ya sita ya pambano hilo.
 Mwamuzi akimuhesabia Pianeta baada ya kudondoshwa na Wladimir.
 Mwamuzi akimkumbatia Pianeta baada ya kukubali kutoendelea na pambano.
 Pianeta akijaribu kujiinua aendelee na pambano hilo bila mafanikio

No comments :

Post a Comment