Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, June 10, 2014

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ALIVYO MSAMBALATISHA MZAMBIA KWA T.K.O YA RAUNDI YA TISA

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi baada ya kumtwanga bondia Mzambia Mwansa Kabinga kwa t,k,o ya raundi ya tisa mwishoni mwa wiki iliyopita na kufanikiwa kunyakuwa ubingwa wa WPBF Africa upande wa vijana picha kwa niaba ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipeperusha vema bendera ya taifa
Bondia wa Zambia, Mwansa Kabingakushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa WPBF Africa mchezo uliochezwa ,Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia ambapo King Class Mawe alishinda kwa TKO ya raundi ya tisa na kufanikiwa kuibuka na ubingwa huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
KING CLASS MAWE AKINYOOSHWA MKONO JUU
Bondia wa Zambia, Mwansa Kabingakushoto akioneshana umwamba na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wa Tanzania wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa wa WPBF Africa mchezo uliochezwa ,Arthur Davis Stadium, Kitwe, Zambia ambapo King Class Mawe alishinda kwa TKO ya raundi ya tisa na kufanikiwa kuibuka na ubingwa huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
WAKATI WA KUPIMA UZITO

No comments :

Post a Comment