Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud
Mohammed, akifunguwa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa
Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini
Tanzania, ilioandaliwa na TASAF Taifa. Iliofanyika katika ukumbi wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mkurugenzi
Uratibu wa Shughuliza Serekali Zanzibar, Ndg Issa Ibrahim Mahmoud,
akitiwa maelezo ya Ufunguzi wa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa
Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru
Kaya Masikini Tanzania unaotekelezwa na TASAF, uliofanyika katika
ukumbib mdogo wa Baraza la Wawakilishi Chukwani. Kushoto kwake
Mkurugenzi wa Program wa TASAF Ndg Amadius Kamagenge akifuatiwa na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe Mohammed Aboud.
Mohammed.
WASHIRIKI
wa Warsha ya Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya
Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Zanzibar
wakimsikiliza Mkurugenzi wa Program wa Tasaf Ndg. Amadius Kamangenge,
akitowa maelezo ya Mradi TASAF.wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.
Yaliofanyika katika ukumbi mdogo wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mkurugenzi
wa Program wa TASAF Ndg Amadius Kamagenge, akitowa maelezo ya
Utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Ujenzi ambayo pia itawanufaisha
walengwa wa mpango wa kunusuru kayacmasikini Tanzania.
Maofisa
wa Mradi wa TASAF Tanzania wakifuatilia ufunguzi wa semina ya
Utekelezaji wa Mradi Utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Ujenzi
ambayo pia itawanufaisha walengwa wa mpango wa kunusuru kayacmasikini
Tanzania. Wakati Waziri Aboud akifungua semina hiyo katika ukumbi mdogo
wa baraza la wawakilishi chukwani Zanzibar.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Ndg. Ahmad Kassim,
akitowa maelezo ya mafanikio ya Mradi wa Tasaf Zanzibar wakati wa
ufunguzi wa Warsha ya kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Mradi wa (PWP)
.
Maafisa
wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania TASAF,kutoka kushoto Ndg. Abass
Saleh, Bi .Mary Kiula na Ndg. Geofrey Nyamwihula, wakijadiliana jambo
wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa
Miradi ya Ujenzi (PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini
Tanzania
Mgeni
Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Mohammed Aboud Mohammed, akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa
Warsha ya Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi
(PWP) katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania,
ilioandaliwa na TASAF Taifa. Iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar.
Mgeni
Rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Mohammed Aboud Mohammed, akiwa katika picha na Maofisa wa Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF) baada ya ufunguzi wa Warsha ya
Warsha ya Kuwajengea Uelewa wa Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi (PWP)
katika mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini Tanzania, ilioandaliwa
na TASAF Taifa. Iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar.
No comments :
Post a Comment