Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, June 16, 2014

UN KUZINDUA MFUMO MPYA WA KUHABARISHA UMMA NDANI YA TAMASHA LA ZIFF 2014 JIONI HII




un1
Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa nchini. Taarifa hiyo imo katika documentary (taarifa ambayo iko katika mfumo wa video) ya dakika saba inayoonyesha kazi mbalimbali Umoja wa Mataifa nchi itazinduliwa leo kwenye ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kutumia mitandao ya kijamii kuwafikia wadau wake wa maendeleo
Un2
Mkuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini Anna Liboro Senga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo kuhusu uzinduzi wa mfumo mpya wa utoaji wa taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa wadau wake.Mpango huo unazinduliwa leo jioni katika ukumbi wa wazi wa Ngome Kongwe. Kushoto ni Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso .(Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog)

No comments :

Post a Comment